Kusoma ni baraka! Hapa utapata vitabu mbalimbali vya Biblia vilivyotafsiriwa katika lugha ya Kisandawe. Unaweza kuvisoma papohapo au kuzipakua kwenye simu au kompyuta yako bila gharama.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.