Kusikiliza hadithi kunaleta utamu! Njoo, kaa nasi na usikilize hadithi ya Biblia katika Kisandawe!
Unaweza kufungua na kusikiliza hapa hapa, au unaweza kupakua kwenye simu yako na kompyuta yako, tena bure, bila malipo.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.