Hapa unapata nafasi ya kuangalia jinsi Mungu alivyoumba dunia, na vitu vyote vilivyomo duniani.
Video hii unaweza kufungua na kuangalia hapa hapa, au kupakua kwenye simu yako na kompyuta yako, tena bure, bila malipo.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.