Ikiwa Kisandawe ni lugha yako ya asili, utashangaa kwamba siyo ngumu sana kujifunza kusoma lugha hiyo. Bonyeza picha ya kitabu kidogo katika ukurasa huu, na upate kusoma alfabeti na kitabu ambacho kinakuelekeza katika kusoma.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.