Hapa unaweza kusikiliza nyimbo ambazo Wasandawe wamezitunga kufuatana na Neno la Mungu. Pia ukipenda unaweza kuzipakua kwenye simu au kompyuta yako.
Unaweza kuwasiliana nasi kwa tutumia ujumbe kwa njia ya fomu iliopo hapa chini. Huitaji kutaja jina lako au anwani ya barua pepe, isipokuwa una swali linalo hitaji jibu.