Video ya Injili ya Luka

Kuangalia hadithi kunaleta uelewa mpya. Hapa unapata kuona filamu ya maisha ya Yesu kama ilivyoandikwa katika Injili ya Luka. Pia unaweza kupakua video hii kwenye simu au kompyuta yako.