Gombo kaya

Karibu kwenye nyumba ya Wasandawe!

Hapa utaweza kupata vitabu, vitu vya  kusikiliza na vya kutazama - vyote kwa lugha ya Kisandawe! Kuna vitabu kwa watu wote, maandishi yaliyorekodiwa na video za kufurahisha! 

Kama una mawazo yeyote au maoni, wasiliana nasi kwa kubonyeza sentensi hapo chini ya picha. Asante sana. 

sandawe_home.jpg