Video ya Yona

Kuangalia hadithi kunaleta uelewa mpya.

Hapa unapata kuangalia hadithi ya nabii Yona. Pia unaweza kupakua video hii kwenye simu au kompyuta yako.

Furahia kuangalia!