Mwanzo

Kusikiliza hadithi huleta utamu! Njoo usikilize hadithi za Biblia kwa Kisandawe! Sikiliza kutoka katika kitabu cha Mwanzo, na ujue kwa namna gani vitu vyote vilikuwepo, na tena Mungu aliyeumba alivyokuwa karibu na watu.

Uhusiano huo utaona katika hadithi za Adamu na Eva, Noa na gharika, Abrahamu, Isaka, na Yakobo na katika hadithi nyingine nyingi.

Unaweza kufungua na kusikiliza hapa hapa, au unaweza kupakua kwenye simu yako na kompyuta yako, tena bure, bila malipo.

Thumbnail image

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.