Ikiwa Kisandawe ni lugha yako ya asili, utashangaa kwamba siyo ngumu sana kujifunza kusoma lugha hiyo. Bonyeza picha ya kitabu kidogo katika ukurasa huu, na upate kusoma alfabeti na kitabu ambacho kinakuelekeza katika kusoma.


Video Player is loading.
This is a modal window.
The media could not be loaded, either because the server or network failed or because the format is not supported.
Sikiliza Alfabeti ya Kisandawe | Somo la 1 | Somo la 2