Luka

Hadithi katika kitabu cha Luka zinatuonyesha kufahamu maisha ya Yesu Kristu, Mwana wa Mungu. Na wewe upate kumfahamu yeye kwa njia ya kusikiliza alivyozaliwa na mambo aliyoyafundisha. Pia, upate kufahamu kwa nini Wakristo wanaamini kwamba leo yu hai, ingawa amekufa kwa mateso makali juu ya msalaba.

Unaweza kufungua na kusikiliza hapa hapa, au unaweza kupakua kwenye simu yako na kompyuta yako, tena bure, bila malipo.

Thumbnail image

Your encouragement is valuable to us

Your stories help make websites like this possible.